![]()
(Couplet 1) Yani toka chini toka chini Baba umeniweka pande za juu Mavumbebi umenifuta umenifuta Umenibadilisha, muujiza huu yani Mpaka, Wafitini watifini wanapata presha Imekuwaje huyu, kila walopango Walopango kunisambaratisha Ni wanafeli tu (Pont) Nimekupata nimejipata eeeeh Nadunda kila sehemu Walonikataa wananitaka eeeeh Umebadili game… Nimekupata nimejipata eeeeh Nadunda kila sehemu Walonikataa wananitaka eeeeh Umebadili […]
