![]()
(Verse 1) Noana kama ndoto, alokuwa kipenzi changu hatupo wote kama mtoto, nalia nikitazama picha zake Nalimiss joto, nateseka na baridi yeye kaenda zake kapata penzi zito, na kuna muda anampost mtu wake mw- enzake Mwenzake moyo unawaka moto mwilini nahisi joto, tush- akuwa maadui ka sindano na puto, tendo tuloshare lina- fanya naumia (na […]
