![]()
(Verse 1)
Noana kama ndoto, alokuwa
kipenzi changu hatupo wote
kama mtoto, nalia nikitazama
picha zake
Nalimiss joto, nateseka na
baridi yeye kaenda zake
kapata penzi zito, na kuna
muda anampost mtu wake mw-
enzake
Mwenzake moyo unawaka moto
mwilini nahisi joto, tush-
akuwa maadui ka sindano na
puto, tendo tuloshare lina-
fanya naumia (na sina ata
wa kumuadisia)
(Bridge)
Ndo tuseme anamshika ana-
vomshikaga (aaaaaaaaaah)
anambeba anavombebaga
anamfanya anavofanyaga (a
aaaaaaaah) analia anavoli-
aga
Ndo tuseme anamshika ana-
vomshikaga (aaaaaaaaaah)
anambeba anavombebaga
anamfanya anavofanyaga (a
aaaaaaaah) analia anavoli-
aga
(Chorus)
Ameniachia kidoo (mama kidonda)
nashindwa kupona (mama kibonda)
ameniachia kidoo (mama kibonda)
nashindwa kupona (mama kibonda)
Ameniachia kidoo (mama kidonda)
nashindwa kupona (mama kibonda)
ameniachia kidoo (mama kibonda)
nashindwa kupona (mama kibonda)
(Verse 2)
Yatima wa mapenzi mimi sa ni-
tapendwa na nani (hai weeh)
mwenzenu nateseka sana, hivi
nna kasoro gani (hai weeh)
Kiukweli iko wazi anataka nife
alafu iwe buriana, homa asa ma-
mbo gani, anapost picha insta
wapo kitandani (hai weeh)
Inamana inamana, inamana ha-
nipendi (hai weeh) inamana
inamana mie sijui mapenzi jama
eeeh
(Bridge)
Ndo tuseme anamshika ana-
vomshikaga (aaaaaaaaaah)
anambeba anavombebaga
anamfanya anavofanyaga (a
aaaaaaaah) analia anavoli-
aga
Ndo tuseme anamshika ana-
vomshikaga (aaaaaaaaaah)
anambeba anavombebaga
anamfanya anavofanyaga (a
aaaaaaaah) analia anavoli-
aga
(Chorus)
Ameniachia kidoo (mama kidonda)
nashindwa kupona (mama kibonda)
ameniachia kidoo (mama kibonda)
nashindwa kupona (mama kibonda)
Ameniachia kidoo (mama kidonda)
nashindwa kupona (mama kibonda)
ameniachia kidoo (mama kibonda)
nashindwa kupona (mama kibonda)
Added by
lyrics africas
WRITE A COMMENT
WRITE A COMMENT

No comments yet