![]()
We jalali muombe tu
umzima aah, hapa mapenzi
salama aah, na mi anipe
tu hekima aah, tuje tuzae
na wana aah
Humm kwangu wewe sadaka
sadaka ingie baraka, nini
tena nataka aah
Kwanza tumejipata muwizi
shani kamata, nini tena
unataka aah
Bhuju wee bhujuuuu wee
Ubhuju eeh bhuju wangu
Bhuju wewe bhujuu lele
uuh Bhuju wee bhujuu wangu
Na mbosso khan tena aah
Robo tatu ya dunia maji
robo tatu yangu mimi wewe
bhuju
Nita swali nitavuta uradi
ni some na dua usipigwe na
juju bhujuu
Chunga marafiki huwaga wa-
nafiki hawatabiriki wana-
badilika bhuju, bhujuu Msw-
eety Msweety
Bhuju kuache vipi kwa jeuri
hipi nita dhalilika bhuju
Bhuju wee bhujuuuu wewe
(Bhuju wee bhujuu wangu)
Bhuju, bhuju, bhuju, bhuju
my wangu (Bhuju wee bhujuu
wangu)
Baby ona (Hatari), wameachana
si wamevunja koroma (Hatari)
wamemaliza virogo na bado
vimegoma (Hatari), wamebaki
kujisonya sonya (Hatari) uuuh
wewe
Bhuju wee bhujuuuu, Bhuju wee
bhujuuuu wangu, bhuju lele bh-
uju lele, hum Bhuju wee bhuju
wangu
Added by
lyrics africas
WRITE A COMMENT
WRITE A COMMENT

No comments yet