Loading

(Intro)

Ulilala nimeona Kila kutu
Nimekuta meseji na missed
Call alikubipu salasala ulienda
Jana usiku eti kapenda show
We msafi, ulisafisha Msitu

(Couplet 1)

Yani kila siku tuko wote
Kumbe unanizunguka
Pamoja na mahaba yote
Kumbe waficha makucha

Meseji nyingi sana nimeshazikuta
Zingine sijazisoma ningekufa
Nilipoona picha za mafuta
Nikakusaidia kuzifuta

Kuna ben daktari Hadi doto dalali
Ila achana na wile mume wa mtu
Utamwagiwa tindi kali

Natamani kukuacha uende
Ila moyo unataka nikupende
Najilaume kila siku mi mzembe
Ila moyo unataka uyajenge mapenzi

Natamani mapenzi yadumu
Ila mwenzangu wa weka sumu
Sipendi kukulaume ila
Napitia wakati mgumu

Kila week ndipo kisumu
Unadanganya ni majukumu
Kumbe upo kwa room
Unampa utamu anakuchumu

(Refrain)

Why you cheating on me
Cheating on me
Stop cheating on me
Cheating on me

Why you cheating on me
Cheating on me
Stop cheating on me
Cheating on me

(Couplet 2)

Simu nzito nimeona meseji ya davito
Kumbe mbezi mwisho una mtu
Anaitwa philipo, kipindi mimi
Sipo alikua anakuhonga mission
Na hapo ulipo ameshakupa na ujauzito

Y’a yanasifiwa mapenzi mi nachukia
Mapenzi, kumuamini mapenzi
Siwezi tena, chunga mafriend wa
Mapenzi, visafari week-end ndo
Wakiona nyie mapenzi ndo basi tena

Akipenda cent, atakucheat
Kisa mechi, bado akipenda
Mechi, bila cent utapigwa benchi

Natamani kukuacha uende
Ila moyo unataka nikupende
Najilaume kila siku mi mzembe
Ila moyo unataka uyajenge mapenzi

(Refrain)

Why you cheating on me
Cheating on me
(Why you cheating on me)
Stop cheating on me
Cheating on me

Why you cheating on me
Cheating on me
(Why you cheating on me)
Stop cheating on me
Cheating on me

Added by

lyrics africas

SHARE

Votre adresse e-mail ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *