![]()
(Couplet 1 : Maua)
Ntampata wapi jamani
Atae nipa amani
Muda wote burudani
(Ooooooooh)
Kwenda nje nsitamani
Waniulizie majirani
Yuko wapi huyu jamani
Simu yake niikimbilie eeh
Ole wake anifanye nilie eeh
Niwe wake ye wa kwangu mie
Kwa hayo mapenzi niko radhi
Nisiwasikie…
(Refrain)
Jama Kama uyo, Ntampata wapi
Kama uyo ntampata wapi
Kama uyo Ntampata wapi
Kama uyo Ntampata wapi
(Ntampata wapi)
(Couplet 2 : Jay)
Yéyé tu nikilala
Nimuote yéyé tu
Nipo chini aje juu
Taratibu akinipa mavitu
Anipe utamu kila siku
Kwa ujazo asifanye kiduchu
Apo tu roho kwatu
Nikishushia na supu
Niwe wake, awe wangu
Changu chake, chake changu
Simu yake niikimbilie eeeh
Ole wake, anifanye nilie eeeh
Niwe wake, ye wa kwangu mie
Kwa hayo mapenzi
Niko radhi nisiwasikie eeh
(Refrain)
Jama Kama uyo, Ntampata wapi
Kama uyo, ntampata wapi
Kama uyo, Ntampata wapi
Kama uyo, Ntampata wapi
(Ntampata wapi)
Added by
lyrics africas
WRITE A COMMENT
WRITE A COMMENT

No comments yet