![]()
(Intro)
Uhh yeah !
Kutoka aloooh !
Mkhh
(Couplet 1 : Marioo)
Nilikutana nae kilimani Nairobi,
Elfu mbili na Kumi na tano
Kibaridi cha asubuhi kijua flani
Sio kikali saa tano
Ooh, Nairobi elfu mbili
Na Kumi na tano, ooh
Nikamchagua yeye katikati
Ya wenzake watano
Ah nikamuomba
Akaniomba namba
(Namba)
Moyoni mwangu
Nikampa moja
(Moja)
She’s my number
(aah number) (ah moja)
Nikamuomba Akaniomba namba
Moyoni mwangu Nikampa moja
Now She’s my number
(aah number) (ah moja)
Yani namaanisha kwamba
Ndio tushuaoana
(Refrain)
Ndio tushaoana
Ndio tushaoana
Ndio tushaoana
(Tushaona, Tushaoana)
(Tushaoana aaaaaaah)
(Tushaona, Tushaoana)
(Tushaoana aaaaaaah)
(Couplet 2 : Bien)
Tulipatana bongo mikocheni
Niko zangu beach nala Upepo
WA bahari, alinipita Kama meli
Anayumbayumba akidondosa kishenzi
Oooh mikocheni, nikamfata utadhani
Zombie habari gani mbona uko lonely
Jina ni gani akasema zari, nikamwambia
Aje (aje), nikamwambia kwangu ni kwake
Nimshike Wapi ndo aje
Nataka moyo wangu uwe wake
Watangoja sana
Wakidhania tutaachana
Mi’ na yeye tumeshanana
Naichapa usiku na mchana
Aiyaiyah aaaaaaah
Yani namaanisha kwamba
Ndio tushuaoana
(Refrain)
Ndio tushaoana
(tushaona na yeye eh)
(Sa ni mi tu na yeye)
Ndio tushaoana
(Tushaona, Tushaoana)
(Tushaoana aaaaaaah)
(Tushaona, Tushaoana)
(Tushaoana aaaaaaah)
Added by
lyrics africas
WRITE A COMMENT
WRITE A COMMENT

No comments yet