![]()
(Couplet)
Nilibisha nilibisha
Mama alipo nambia
Ukipenda jeuri kwish
Leo nayashuhudia
Hayapiti madakika
Simu sijampigia
Yani sili kupitisha
Sauti nisipomsikia
Kama kupenda
Ndo huaga hivi
Mi mwenzenu uchizi naugulia
(Kama kupenda
Ndo huaga hivi
Mi mwenzenu uchizi naugulia)
(Couplet 2)
Oneni ona macho
Tukitazamana
Ubaridi homa
Aibu tumezediana
(Oneni ona macho
Tukitazamana
Ubaridi homa
Aibu tumezediana)
Kwako kijumbe
Fanani itangazie hadhira
Chuma changu kipo ndani
Nakinusuru madhira
(Nyie wa barabarani)
Waendesha katapila
Hii derby ya watani
Haina kutoka bila
Kama kupenda
Ndo huaga hivi
Mi mwenzenu uchizi naugulia
(Kama kupenda
Ndo huaga hivi
Mi mwenzenu uchizi naugulia)
Kama kupenda
Ndo huaga hivi
Mi mwenzenu uchizi naugulia
(Kama kupenda
Ndo huaga hivi
Mi mwenzenu uchizi naugulia)…
Added by
lyrics africas
WRITE A COMMENT
WRITE A COMMENT

No comments yet