![]()
(Verse 1) Utamu wako umepitiliza kama ndizi iliyoiva, jinsi nilivyo kushiba lengo nishatimiza wasije kukuiba ilo ndo lita niliza, nishajituliza Ukisema nasikiliza (Chorus) wewe na mimi (wewe na mimi) wewe na mimi (wewe na mimi) wewe na mimi (wewe na mimi) wewe na mimi (wewe na mimi) (Verse 2) Unaniitaga baby na mimi nakuita babe […]
