![]()
Kama ungehesabu makosa
Ningekuwa mgeni wa nani
Kama ungetazama wenye pesa
Mimi ningekuwa mgeni wa nani
Nakushukuru wee, uliye nipa
pumzi ya uhai, mimi wa chini
yule, umenipandisha juu kama
tai
Nakushukuru wee, uliye nipa
pumzi ya uhai, mimi wa chini
yule, umenipandisha juu kama
tai
Ni neem yako, imenistahilisha
napale ambapo sikustahili baba
Hum nilikuita ukaitika, pahali
ambapo sikutarajia
Ahsante kwa (Neema), kwa (Neema)
Ahsante kwa (Neema), Ahsante kwa
(Neema)
Ahsante kwa (Neema), kwa (Neema)
Ahsante kwa (Neema), Ahsante kwa
(Neema)
Mimi ni yule niliostahili kifo
oh Ila kwa neema yako nimeponea
hapo tena mimi ni yule ule mtoto
wako Nisiyeweza chohote bila
msaada wako
Nakushukuru wee, uliye nipa
pumzi ya uhai, mimi wa chini
yule, umenipandisha juu kama
tai
Nakushukuru wee, uliye nipa
pumzi ya uhai, mimi wa chini
yule, umenipandisha juu kama
tai
Ni neem yako, imenistahilisha
napale ambapo sikustahili baba
Hum nilikuita ukaitika, pahali
ambapo sikutarajia
Ahsante kwa (Neema), kwa (Neema)
Ahsante kwa (Neema), Ahsante kwa
(Neema)
Ahsante kwa (Neema), kwa (Neema)
Ahsante kwa (Neema), Ahsante kwa
(Neema)
Added by
lyrics africas
WRITE A COMMENT
WRITE A COMMENT

No comments yet