Loading

(Couplet 1)

Mie kwako moyo chali ujue
umenichanganya (changanya
changanya), Na huko nyuma
umejazia kama samaki sangara
(sangara sangara)

Takulinda na wezi embe dodo
wajanja kudonoa, na kukuacha
siwezi mie macho kodo kodo
nimetoa

(Pont)

Na ulivyo mjuzi mapenzi lwe
Jikoni popote unanipa,

na hilo lako joto joto, nikupe
katoto toto, na uzuri wako fire
moto, miuno yako minyatonyato

Baby wewe fanya kama
una una

(Refrain)

(Pinda pinda) una (pinda pinda)
Fanya kama una (pinda pinda)
una (pinda pinda) Fanya kama una
(pinda pinda) una (pinda pinda)

Fanya kama una (pinda pinda) una
(pinda pinda) baby hebu pinda !

(Couplet 2)

Mtoto soft yako ngozi (aaah)
Black colour african beauty
Ubahili sina leo namwanga noti

Wape na shoga zako watumie hizo
chenchi (yeah), nimepata pisi
kali mrembo wa kariakoo, kila
siku nipo naye huyu mpaka
mtondodogo

Haraka ya nini na mtoto yupo
ghett tunapanga mipango
tunaianda kesho

(Pont)

Na ulivyo mjuzi mapenzi lwe
Jikoni popote unanipa,

na hilo lako joto joto, nikupe
katoto toto, na uzuri wako fire
moto, miuno yako minyatonyato
Baby wewe fanya kama una una

(Refrain)

(Pinda pinda) una (pinda pinda)
Fanya kama una (pinda pinda)
una (pinda pinda) Fanya kama una
(pinda pinda) una (pinda pinda)

Fanya kama una (pinda pinda) una
(pinda pinda) baby hebu pinda !

Added by

lyrics africas

SHARE

Votre adresse e-mail ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *