![]()
(Verse 1)
Utamu wako umepitiliza kama ndizi
iliyoiva, jinsi nilivyo kushiba
lengo nishatimiza wasije kukuiba
ilo ndo lita niliza, nishajituliza
Ukisema nasikiliza
(Chorus)
wewe na mimi (wewe na mimi) wewe
na mimi (wewe na mimi) wewe na mimi
(wewe na mimi) wewe na mimi (wewe
na mimi)
(Verse 2)
Unaniitaga baby na mimi nakuita babe
we are so in love, na unanidekeza
dede mi niwako wa kipekee we are
so in love
Yeah taratibu nataka niwe na wewe
milele nikupenda unipende ile deadly
Heavy nakufeel love inafeel so real
no rush me na wewe mpaka milele
So let’s take a time i wanna love you
mahaba mengi yananizidia ananipatia oh
dear in my heart umeingia thanks god i
found u my forever dear
I don’t want nobody else but u oh oooh
(Chorus)
wewe na mimi (wewe na mimi) wewe
na mimi (wewe na mimi) wewe na mimi
(wewe na mimi) wewe na mimi (wewe
na mimi)
(Verse 3)
Nakumbuka tulivyokutana ulinitazama
sanaa, basi na mimi nikazama kibuka
twapendana, penzi limekuwa pana sio
tena lakubana
My babe no pressure hakuna tena mambo
ya kulizana
Oh i really wanna be around u nakupenda
na nataka tuwe kama pair, boo just
deeper than a surface level love iko
mingi no pressure level
With me nipe mapenzi moto moto night
and deep peleka moto ina flow hivyo
Tuna make sense tukiwa wawili, so
tunaglow hivyo na huwa na blow vile
unanipenda ni deadly
Hii love iko plenty ntakuchagua hata
next life tu-spend wawili
I don’t want nobody else but you
oooh you ooooh
(Chorus)
wewe na mimi (wewe na mimi) wewe
na mimi (wewe na mimi) wewe na mimi
(wewe na mimi) wewe na mimi (wewe
na mimi)
Added by
lyrics africas
WRITE A COMMENT
WRITE A COMMENT

No comments yet