Loading

(Verse 1)

Nilijitoa, nikawekeza nguvu
na akili, kumbe sikujua.
Nilikuwa najisumbua, akili
ikawaza ndoa, hata kama alikuwa
bize.

Sikuchoka kumsubiri, ningejua
moyo ungekoma. Ningejua mwenzenu
leo, mwana kulifind nimelipata.
Kumbe hata penzi letu amefanya
kichaka.

Yeye anajificha tu kwa muda,
hataki maisha nami, ananizuga.
Kumbe huko nje ananiona mi
takataka najipendekeza yakunitaka.

Tunaishi kwa mipaka, najutia
muda. Mi nimepoteza muda.

(Bridge)

Kumbe alikuwa anachati na
wengine, muda anawapa wengine.

Nimeona kampata mwingine. Nami
na moyo siyo mashine. Huenda siyo
riziki, pengine niache nikatafute
pengine.

Naye atafute mwingine, japo
alifanya ni nijinyime penzi.

(Chrorus)

Nimemfumania, fumania. Simu ya
mpenzi wangu, ndiyo chanzo cha
chozi langu.

Nimemfumania, fumania. Simu ya
mpenzi wangu, ndiyo chanzo cha
chozi langu (ndiyo chanzo cha
chozi langu).

(Verse 2)

Chozi nikifuta kushoto,
linanidoka kulia. Maumivu kila
nikifikiria mabaya aliyonifanyia
naumia eeh.

Hata kusamehe naona utoto,
maana alinikusudia. Naogopa
yasije jirudia, apite kushoto,
mi wa kulia, yeye.

Kinachoniuma, nimegundua
hanipendi.inanichoma maana
tumefanya mengi. Na muda
tuliotumia, hata aliposema
yuko bize na kazi bhana…

Kumbe alikuwa kona napo,
akifanya mengu, na amefanya
na wengi.

(Bridge)

Kumbe alikuwa anachati na
wengine, muda anawapa wengine.

Nimeona kampata mwingine. Nami
na moyo siyo mashine. Huenda siyo
riziki, pengine niache nikatafute
pengine.

Naye atafute mwingine, japo
alifanya ni nijinyime penzi.

(Chorus)

Nimemfumania, fumania. Simu ya
mpenzi wangu, ndiyo chanzo cha
chozi langu.

Nimemfumania, fumania. Simu ya
mpenzi wangu, ndiyo chanzo cha
chozi langu (ndiyo chanzo cha
chozi langu).

Added by

lyrics africas

SHARE

Votre adresse e-mail ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *