![]()
(Couplet 1)
Juu ya dali nilipanda nilishuaka
Kama sina nilikopaa, yote
nilio fanya ni ya kumrdhisha
Sikujali kuchokaa, ili apate
alicho takaa, yarabi mola leo
na dhalilika, na dhalilika
(Pont)
Kuna muda na panda tupu yani
Kuna muda na panda maganda Kuna
muda ana nikosea ananikalipia
na nina jishusha
Kuna muda ata tukiwa ndani ye
ananinyima kile nacho taka
Ananifanya nalipata mpenzi
kwa kubaka
Nime vumilia mengi, kwenye
mapenzi, na jambo la ku
cheat, ndo lilo nitoa machozi
(Refrain)
Ungewezaje, anakuona bwege
Ungewezaje, anakuona bwege
Ungewezaje, anakuona bwege
(Couplet 2)
Kama mapenzi yangekua pesa
kitambo nisha tuma muamala,
Kama mapenzi yangekua pesa
za risasi ngetoka kwa manara
Kama mapenzi yangekua uchizi
kitambo nisha kua fala mapenzi
Kuna muda natamnigi ata kua
single
Kuna muda natamniga kuku
handle mama, kuna muda natamnigi
kunywa sumu kwa ajili yako
(Pont)
Kuna muda na panda tupu yani
Kuna muda na panda maganda Kuna
muda ana nikosea ananikalipia
na nina jishusha
Kuna muda ata tukiwa ndani ye
ananinyima kile nacho taka,
Ananifanya nalipata mpenzi
kwa kubaka
Nime vumilia mengi, kwenye
mapenzi, na jambo la ku
cheat, ndo lilo nitoa machozi
(Refrain)
Ungewezaje, anakuona bwege
Ungewezaje, anakuona bwege
Ungewezaje, anakuona bwege
Added by
lyrics africas
WRITE A COMMENT
WRITE A COMMENT

No comments yet