![]()
(Intro)
Mama naya usimguse, say, mi
kwake sina say mi kwake sina
say, mi kwake sina say, mi
kwake sina
(Couplet 1)
Manyanya nyanya mabilinganya
shape huna sura huna unapambana
Pekeako utakwama ungenichoma
kucheza suna we unanuna jitu
lawama
Unamtongoza unamtaka unamtaka
kwa herufi kubwa hakutaki
unamsaka, we unajua nnachompa
usingejisumbua
(Refrain)
Nampa tonge nyama tonge na
nyama, mi namlishaga chumbani
tonge na nyama
tonge nyama tonge na nyama, mi
namlishaga chumbani tonge na
nyama
tonge nyama, tonge nyama,
tonge nyama tonge nyama,
tonge nyama, tonge nyama
tonge nyama, tonge nyama
(Couplet 2)
Nampa pa pa nampa pe pe nampa
pi pi nampa po popopop, nampa
ta ta nampa te te, nampa ti ti
nampa to tototo,
na nampa salio ooh oooh, salio
ooh oooh, na nampa salio ooh oh
Salio sababu ananjulia
Moja akinishika hapa acha hapa
hum mbwili akinitomasa sasa
ayaya tatu, akini nyam nyam
nyim nyim nyam nyo nyo nyo
hum ne, mie kwake sio mchoyoyo
nampa
(Refrain)
Tonge nyama tonge na nyama mi
namlishaga chumbani tonge na
nyama
tonge nyama tonge na nyama, mi
namlishaga chumbani tonge na
nyama
tonge nyama, tonge nyama,
tonge nyama tonge nyama,
tonge nyama, tonge nyama
tonge nyama, tonge nyama
(Outro)
say, mi kwake sina say mi kwake
sina say, mi kwake sina say, mi
kwake sina
Say Mi kwake sina say mi kwake
sina say, mi kwake sina say
mi kwake sina
Added by
lyrics africas
WRITE A COMMENT
WRITE A COMMENT

No comments yet