Hallo

Loading

Na kama ukinimiss please just call me (hallo), nishafumba macho kwen- gine sioni (hallo), ukiwa karibu mo yo unautuliza (hallo), ukiwa mbali basi nitasikiliza Ooooh my love, you’re the one, two three, four, five in my life walah wewe ndo unaenifaaa Ooooh my love, you’re the one, two three, four, five in my life walah […]

Kumbe

Loading

Si unaona me wa kuchezewa haya ni- chezee, si unaona me wa kudanganywa ka mtoto hayaniogopee, siunaona me wa kufokewa haya nifokee si unaona mimi wa kupotezewa muda haya nipotezee Ah imagine unamuumiza mtu ambae ko- sa lake yeye kukupenda kwa dhati au kama hupendi kuniona naishi niambie nijiuwe uji nafasi Upendo ninaokupa haujali kisa […]

Mkuu Wa Majeshi

Loading

Haina cha ucheshi hatuchekeshi Shori anapumulia gesi, I’m not a killer but I’m killing this shit Ukipatwa na uchungu kanifungulie kesi Ninaunguza I’m hot she’s cold Na ndio maana mara ya kwanza alijichukulia keki Mi naicha- pa kikamanda yeye na wenzake wananiita mkuu wa majeshi Wananiita mkuu wa majeshi Wananiita mkuu wa majeshi Wananiita mkuu […]

Maman

Loading

Tango nazalaki muana mukie (eh) maman abando linga te mutumususu aya touché (eh), nga liso naye ( yeh yeh yeh yeh) Lisu na ye moko amonela pasi na maternité, maman asala nioso po na koma moto, ateka maputa akota ba niongo pona nga yo (Yoh yoh…) Maman asala nioso po na koma moto ateka maputa […]

DJ

Loading

Hapa kwa juu kwa moyo pana kwa nguo, kwenye ubongo kuna kakitu kanasumbua, haki ya mungu lile likenge lingeniua si angesema ka anauza ningenunua Oya Mister Dj, nipoze moyo Dj ongeza sauti Dj, Nitakutunza Dj Oya oya Mister Dj, niponze moyo Dj, acha ishe Dj, Nitakutunza Dj Nishike sikio kuna mengine nitaropoka kumbe chujio wezi […]

Iyo

Loading

Ai Zombi unajua we ni mkali okay Haina shobo, haina dole, haina iyoo haina kufagilia haina ufagio haina shobo haina dole haina iyoo haina kufagilia haina ufagio unaogopa mbwai, hapa utakuwa hukai usinipandishie kibesi hata kama unanidai, embo towa hi kujivunga hiyo haifai usichovye, chovye hovyo utapata uti Unaleta janja janja, unambwanda mbwanda, hi vita […]

Hebu Nieleze Kwa Sauti ya Upole

Loading

Hebu nieleze kwa sauti ya upole akili zangu zikuelewe, rudia rudia kama vile pa mtoto, sisahau neno lako. Hebu nieleze kwa sauti ya upole akili zangu zikuelewe, rudia rudia kama vile kwa mtoto, nishau neno lako. Bwana nieleze kile kilichokufanya ukaja hapa wakati ule, yote ya mbinguni huku- yaona kitu ukaja ishi na viumbe Bwana […]

IGBO

Loading

Make nobody stress me when I don’t even smoke my igbo (wallah) now only money is the reason Allah leave me low (Allah leave me low) feeling like messiah king goddy the country Gboro, all the man them down low na me be the king kong igbo Igbo igbo igbo, igbo igbo, igbo igbo C’est […]

Mikono Juu

Mikono Juu

Loading

Oh, kwa majina ni yaani? Nakujua we waka waka waka Mikono juu mikono juu mikono juu mikono juu, Mhm, sibaki hapo juu wanege zungusha miguu, Mhm. alafu twende mbele rudi nyuma dance kidogo zungusha kiuno Twende mbele rudi nyuma dance kidogo zungusha kiuno. Physically physically fit mademu wanawainako physically fit physically physically fit ngoma zangu […]