LYRIC
![]()
Na kama ukinimiss please just call
me (hallo), nishafumba macho kwen-
gine sioni (hallo), ukiwa karibu mo
yo unautuliza (hallo), ukiwa mbali
basi nitasikiliza
Ooooh my love, you’re the one, two
three, four, five in my life walah
wewe ndo unaenifaaa
Ooooh my love, you’re the one, two
three, four, five in my life walah
wewe ndo unaenifaaa oooooh
Hallo, hallo, hallo, hallooo, Hallo,
hallo, hallo, hallooo, Hallo, hallo,
hallo, hallooo…
Kama kukupenda kanijalia jalali, karu-
husu kukupenda kanipatia kibali, ni-
kikukosa ntakipigia nambari
Na kama ukinitupa watanikuta mochwari
mochwari, maana nauga unga, nenga na
unga ungaa, nashindwa kusinzi kutwa
mauza uza, Naunga unga bado nauga
ungaaa, nashindwa kusinzia kutwa mauza
uza
Ooooh my love, you’re the one, two
three, four, five in my life walah
wewe ndo unaenifaaa
Ooooh my love, you’re the one, two
three, four, five in my life walah
wewe ndo unaenifaaa oooooh
Hallo, hallo, hallo, hallooo, Hallo,
hallo, hallo, hallooo, Hallo, hallo,
hallo, hallooo…
Natafuta chapaaa, natafuta na mboga
ukiona mguu wa kutoka ujuwe nakutafu-
tia ka soda, hata nikiwa vitani usiwe
na hofu, simu moja
Ukiribeep sijapiga ujuwe natafutaga
vocha
ukiniacha ntaliaa, watu nita waambia
nini, nimezama mazima, wewe ndo tamu
ya mimi, hasira hasira, tempa nishat-
uliza chini, wangu fundi maridadi
achokonoa engine, yeeeeeea
Hallo, hallo, hallo, hallooo, Hallo,
hallo, hallo, hallooo, Hallo, hallo,
hallo, hallooo…

No comments yet