LYRIC
![]()
Oh, kwa majina ni yaani?
Nakujua we waka waka waka
Mikono juu mikono juu mikono juu
mikono juu, Mhm, sibaki hapo juu
wanege zungusha miguu, Mhm.
alafu twende mbele rudi nyuma dance
kidogo zungusha kiuno Twende mbele
rudi nyuma dance kidogo zungusha
kiuno.
Physically physically fit mademu
wanawainako physically fit physically
physically fit ngoma zangu leo zote
ziko repeat.
Have I seen you before? Are you here
with somebody? Sexy girl you wine on
the floor. You kill me with your body
Happy people no depression weka dance
punguza tension easy move so take the
lesson kaninoma kwa story mention
Hii ni ingine mweche, na ni mbaya
ni akipendeshe weka dance twende
Mikono juu mikono juu mikono juu
mikono juu, Mhm, sibaki hapo juu
wanege zungusha miguu, Mhm.
alafu twende mbele rudi nyuma dance
kidogo zungusha kiuno Twende mbele
rudi nyuma dance kidogo zungusha
kiuno.
Ni mbaya ama si mbaya (mbaya) ningine
faya (faya) ni mbaya ama si mbaya
(mbaya) wakituchekiwa na kwaya wakiuliza
Eti mi ndio nani (tunawajibu kwa majina
nian) wakiuliza eti mi ndio nani (ila
msanii ataleta Kenya grami)
washingo ni nyingi mawaya na dopa ni
genje ni mbaya kwa muziki ni mnoma ni
faya kwa super ni wengi wanadmaya
Hii ni ingine mweche, na ni mbaya
ni akipendeshe weka dance twende
Mikono juu mikono juu mikono juu
mikono juu, Mhm, sibaki hapo juu
wanege zungusha miguu, Mhm.
alafu twende mbele rudi nyuma dance
kidogo zungusha kiuno Twende mbele
rudi nyuma dance kidogo zungusha
kiuno.
washingo ni nyingi mawaya na dopa ni
genje ni mbaya kwa muziki ni mnoma ni
faya kwa super ni wengi wanadmaya
Hii ni ingine mweche, na ni mbaya
ni akipendeshe weka dance twende

Olive
juillet 3, 2026 at 2:03 pm
COMMENT:iyaani good song you are my number one(1) fan i loved finale