LYRIC
![]()
Hebu nieleze kwa sauti ya upole akili
zangu zikuelewe, rudia rudia kama vile
pa mtoto, sisahau neno lako.
Hebu nieleze kwa sauti ya upole akili
zangu zikuelewe, rudia rudia kama vile
kwa mtoto, nishau neno lako.
Bwana nieleze kile kilichokufanya ukaja
hapa wakati ule, yote ya mbinguni huku-
yaona kitu ukaja ishi na viumbe
Bwana nieleze kile kilichokufanya ukaja
hapa wakati ule, yote ya mbinguni huku-
yaona kitu ukaja ishi na viumbe
Hebu nieleze kwa sauti ya upole akili
zangu zikuelewe, rudia rudia kama vile
pa mtoto, sisahau neno lako.
Hebu nieleze kwa sauti ya upole akili
zangu zikuelewe, rudia rudia kama vile
kwa mtoto, nishau neno lako.
Walipokusulubisha pale msalabani hakuna
aliyekusaidia, ukafa kifo cha uchungu na
aibu kwa dhambi iliyokuwa yangu.
Hebu nieleze kwa sauti ya upole akili
zangu zikuelewe, rudia rudia kama vile
pa mtoto, sisahau neno lako.
Hebu nieleze kwa sauti ya upole akili
zangu zikuelewe, rudia rudia kama vile
kwa mtoto, nishau neno lako…

No comments yet