![]()
Yeah, furaha ya mwanume palipo na amani yake, anawekeza pale palipo na heshima yake, tofauti na moyo wake hata pini ya benki atakupa ah, endapo najiuliza nini nachokifuata kwake Papa nalishwa ah nalishwa vinono mtoto anachacha kuna dongbolo (ya Sono) kwake mimi husemi sina kama vile dondcha kama vile dondcha Unapenda kikuzagamua unapenda jinsi unaitaji […]
