LYRIC
![]()
Kamata dem, munju dem, kamata
dem, pekejene ah kiuno kamata
Kamata dem, munju dem, kamata
dem, pekejene ah kiuno kamata
Unaua mzimbiting, mtoto ulivyo
ngaa, pogna ma tin, baby nata-
mani nikubite kama keki…
Sorry niko tu straight forward
sinaga time ya kusleki, shawty
only you nitaoa, sinaga time ya
kusleki
Kukuona nikama kumedi, napokuona
usiku lazima mechi, wakiend kwako
nikama comedy, kukuacha ngumu kama
mzing na kivuli
Karibu home na ukicome, add a
little liquor to your ginger
leo stingo ni deadly, utadhani
mi ninja leo sitaki ujinga (oouh)
Shawty tukutane 8pm, tudrive around
in my BM, tulano home like kitu 9pm
tupige cinema mapaka 11pm
Shawty wa kuni block, hapo kwa Dm
Shawty pm, Shawty Shawty, Shawty
pm, Shawty
Ilinibidi nisepe, naana tatizo
wewe, huridhiki ulilikula taama
usinione mshamba mapenzi, we ma-
penzi kukuacha siwezi
Kwako mi ninamwaga dollar, kiuno
chako kina ni komoa, na kiytani
utani ukinigusa honey uaga fly
Kwako mi ninamwaga dollar, kiuno
chako kina ni komoa
Karibu home na ukicome, add a
little liquor to your ginger
leo stingo ni deadly, utadhani
mimi ninja vile naipiga (oouh)
Shawty tukutane 8pm, tudrive around
in my BM, tulano home like kitu 9pm
tupige cinema mapaka 11pm
Shawty wa kuni block, hapo kwa Dm
Shawty pm, Shawty Shawty, Shawty
pm, Shawty

No comments yet