LYRIC
![]()
Watu weweeeeh, watu wooooh
lazima tupate tupate tupate
(lazima tupate ile kitu roho
inapenda)
Mungu kaumba vitu kaumba watu kwa
dunia (lazima tupate ile roho kitu
napenda we baba kambo bora minyonge
mi sio kimbaumba unajijua, we baba
kambo umbo bora niue (ninapendaga
ndembe ndembe ndembe gwede gwede)
Bora kuwa single kuliko nusu mtu
nataka nikipita naye mikono juu
mwendo wa mateke
Watu weweeeeh, watu wooooh
Watu weweeeeh, watu wooooh
Ah mambo ya mwanamke sura mi si-
taki mambo hayo mwanamke shepu
sura mbuzi anayo
Mi sipendi mademu wan nyama nyama
waliojaza nyuma, wenye mesa mbwanda
wakipita yaani ni vidana danana
O wanakaso wana shepu kwanza wangeti
sero (wanajaza dunia) kama umeshindwa
natural from god fanya hata bibi (
unasubiria)
Oh mwenzenu nataka nikipita naye
mikono juu mwendo wa mateke
Watu weweeeeh, watu wooooh
Watu weweeeeh, watu wooooh

No comments yet