LYRIC

Loading

Kazini chizi nyumbani baba Na
kama namba hii namba bamba tasa
Baharini mbizi Angani mbawa ooooh
Hii case ishakuwa ngumu

Papa papa papa papa za kichwa
Mungu kakupa kalio sura ya baba
Tata tata tata tata takatisha
Mungu kakupa salio wahonge

Wangapi wametupenda , wameondoka
hawajarudi We live once tukiondoka
haturudi

Wototo (pombe) Pombe (watoto) Wototo
(pombe) Pombe (watoto) you might also
like

Bomboclaaaa Yeah Achia ngazi bibi
Mchuma unaondoka Pfff mbili Makeup
imemtoka Kalewa kazima Wenzake
wameondoka ohooo Inshu ishakuwa deep

Hapo vp Hapo sawo laki si pesa Hasara
roho Unachotaka nataka

Wangapi wametupenda , wameondoka
hawajarudi We live once tukiondoka
haturudi

Wototo (pombe) Pombe (watoto)
Wototo (pombe) Pombe


Added by

lyrics africas

SHARE

Votre adresse e-mail ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *

ADVERTISEMENT

VIDEO