LYRIC

Loading

Yeah, furaha ya mwanume palipo
na amani yake, anawekeza pale
palipo na heshima yake, tofauti
na moyo wake hata pini ya benki
atakupa ah, endapo najiuliza nini
nachokifuata kwake

Papa nalishwa ah nalishwa vinono
mtoto anachacha kuna dongbolo (ya
Sono) kwake mimi husemi sina
kama vile dondcha kama vile dondcha

Unapenda kikuzagamua unapenda jinsi
unaitaji baby ukijitazama kundi zi-
nakata katikati

Unapenda kikuzagamua unapenda jinsi
unaitaji baby ukijitazama kundi zi-
nakata katikati

Oh my love, ni wewe ni wewe unanisitiri
upenzi ni wewe, ni wewe ni wewe ni wewe
anejua kunijigijigi mpenzi ni wewe

Siwezi kuyaparamia usijeniumiza nikalia
eti wanasema wewe una msiri wako
kupendani kwa vitendo maneno kosamana
elewa mi si spendi stressi kutokucha
kulombana

Unapenda kikuzagamua unapenda jinsi
unaitaji baby ukijitazama kundi zi-
nakata katikati

Unapenda kikuzagamua unapenda jinsi
unaitaji baby ukijitazama kundi zi-
nakata katikati

Oh my love, ni wewe ni wewe unanisitiri
mpenzi ni wewe, ni wewe ni wewe ni wewe
anejua kunijigijigi mpenzi ni wewe


Added by

lyrics africas

SHARE

Votre adresse e-mail ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *

ADVERTISEMENT

VIDEO