LYRIC

Loading

Si unaona me wa kuchezewa haya ni-
chezee, si unaona me wa kudanganywa
ka mtoto hayaniogopee, siunaona me
wa kufokewa haya nifokee si unaona
mimi wa kupotezewa muda haya nipotezee

Ah imagine unamuumiza mtu ambae ko-
sa lake yeye kukupenda kwa dhati au
kama hupendi kuniona naishi niambie
nijiuwe uji nafasi

Upendo ninaokupa haujali kisa makara-
tasi we kutwa ni wamatusi kunitukana
mbaka kidole cha kati

Unatambua najuwa unajua ninavyokupe-
nda wewe, nini cha kuzuzua au utoto
haujakuwa ndo maana waniumiza wewe

Nyie kumbe kuna watu wana (roho mbaya)
oh nyie kumbe kuna watu wana (roho mbaya)
kumbe kuna watu ni wanyama kuna watu wana
(roho mbaya) oh nyie kumbe kuna watu wana
(roho mbaya)

Ah me sawa sina kikubwa ila hata hiko
kidogo nikikipata mbona nakupa kumbe
napoteza muda, unaning’onga kisogo
unaniona kamchafu kunuka,

Au nani huyu alinizidi utamu aleva
anayefanya mi unione kituko au kama
miti shamba kwa mtaalam, anielekeze
nami niende huko

Au aupendi wenye akili timamu nijichetue
nami niwe mcharuko, nifanye nini hata
nashindwa kufahamu unataka niweje

Unatambua najuwa unajua ninavyokupe-
nda wewe, nini cha kuzuzua au utoto
haujakuwa ndo maana waniumiza wewe

Nyie kumbe kuna watu wana (roho mbaya)
oh nyie kumbe kuna watu wana (roho mbaya)
kumbe kuna watu ni wanyama kuna watu wana
(roho mbaya) oh nyie kumbe kuna watu wana
(roho mbaya)

 


Added by

lyrics africas

SHARE

Votre adresse e-mail ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *

ADVERTISEMENT

VIDEO