LYRIC
![]()
Ai Zombi unajua we ni
mkali okay
Haina shobo, haina dole, haina iyoo
haina kufagilia haina ufagio haina
shobo haina dole haina iyoo haina
kufagilia haina ufagio
unaogopa mbwai, hapa utakuwa hukai
usinipandishie kibesi hata kama
unanidai, embo towa hi kujivunga
hiyo haifai usichovye, chovye hovyo
utapata uti
Unaleta janja janja, unambwanda
mbwanda, hi vita ya ngumi mbona
Mnachomoa mapanga, punguza propa-
ganda haina kujilamba usitutishie
usoja sisi wenyewe makamanda
Unatususia unatukunjia uaandafia
yakianza kuingia ndo unajutia
tushakushtukia unatugizia unamzimikia
unamng’ang’ania sikia nini, (sikia
kitu hiko)
Haina shobo, haina dole, haina iyoo
haina kufagilia haina ufagio haina
shobo haina dole haina iyoo haina
kufagilia haina ufagio
Haina eh, haina eh, haina iyoo, haina
kufagilia haina ufagio, Haina eh, haina
eh, haina iyoo, zombie yooh haina ufagio
huyo hapa sio, Huyu hapa afai, huyu
hapa atoke akwende kabisa na hapa akai
(huyo hapa sio, Huyu hapa afai huyu
hapa atoke akwende kabisa na hapa akai)
Sa uniletee, za kunijua sanaaa, mi
sichekewi chekewi utaupoza ukijicha-
nganya, (Sa uniletee, za kunijua
sanaaa, mi sichekewi chekewi utaupoza
ukijichanganya=)
Eh unajitia chizi, eh mi mwenyewe mento
ukila vyangu utaitoa sikuli nye wewe.
(Eh unajitia chizi, eh mi mwenyewe mento
ukila vyangu utaitoa sikuli nye)
hum hum hum Nasikia nini kama mzuri
kweli ungejua kujisafisha chini?
hovyo, (hum hum hum Nasikia nini kama
mzuri kweli ungejua kujisafisha chini?)
Yani tatizo mwenzetu bahati ndo huna
kutega unatega natega ila hupati wa
kuchuna (tatizo mwenzetu bahati ndo
huna kutega unatega natega ila hupati
wa kuchuna)
Haina shobo, haina dole, haina iyoo
haina kufagilia haina ufagio haina
shobo haina dole haina iyoo haina
kufagilia haina ufagio
Haina eh, haina eh, haina iyoo, haina
kufagilia haina ufagio, Haina eh, haina
eh, haina iyoo, haina yooh, haina ufagio
Wanangu teke teke (tekenya), akileta
(tekenya), awe pruu (tekenya), sikaitaki
(tekenya), nasema teke teke (tekenya)
akileta (tekenya), awe pruu (tekenya)
sikaitaki (tekenya)

No comments yet