![]()
(Verse 1)
Changanya tende na maziwa
havifikii utamu wako hum
wanipe embe au juice ya
miwa oooh ooh ooooh
Mie ntakunywa tu wewe hapo
hum…
Unyagoni ulipochezwa, hivi
yako nani maana unayo mino-
geza, kwangu ni mageni yani
Namaliza vingereza, mara oh
i’m coming, mengine siwezi
kueleza maana haya hadharani
(Bridge)
Halafu sipendi, unavyo nispoil
sana, vigift gift, mwenzio
unanchanganya, eti nakosa mimi
unanimba wewe msamaha, huko
kunipenda embu punguza bana ooh
(Chorus)
oh oh oooh, nami natulizana
oh oh oooh tupendane kiama
(oh oh ooooh) nami natulizana
(oh oh ooooh) tupendane kiama
oh oh oooh, nami natulizana
oh oh oooh tupendane kiama
(oh oh ooooh) nami natulizana
(oh oh ooooh) tupendane kiama
(Verse 2)
Vichepu chepu vya mjini mafua
mi vumbi nini chafya, kichefu
chefu ya nini waje tibua, uni-
chukie uje niacha
Halafu huku kususa we unajua
ni utoto nikikua nitaacha
tukigombana wahi kuniblokua
Ukichelewa puuh nafwa
Unyagoni ulipochezwa, hivi
somo yako nani, maana unayo
ninogeza, kwangu uni mageni
yani
Namaliza vingereza, mara ooh
i’m coming, mengine siwezi
kueleza, maana haya hadharani
(Bridge)
Halafu sipendi, unavyo nispoil
sana, vigift gift, mwenzio
unanchanganya, eti nakosa mimi
unanimba wewe msamaha, huko
kunipenda embu punguza bana ooh
(Chorus)
oh oh oooh, nami natulizana
oh oh oooh tupendane kiama
(oh oh ooooh) nami natulizana
(oh oh ooooh) tupendane kiama
oh oh oooh, nami natulizana
oh oh oooh tupendane kiama
(oh oh ooooh) nami natulizana
(oh oh ooooh) tupendane kiama
Added by
lyrics africas
WRITE A COMMENT
WRITE A COMMENT

No comments yet