Loading

(Intro)

Zombie eh, zombie eh
oh zobie ooh

(Verse 1)

Wanaosema wamekuzidi wamenizi
huuuum na labda kukusadiki
nyingi tattoo, si wakuon
jwa kuumizwa labda wake
majuu wivu ugon jwa vindekeza
vimeshushuka shuu

(Bridge)

We ndio my boringo ukibinda
nikohoi ukinifanyia maringo
aki sitoboi, ka wewe dereva
mimi mtingo penzi letu rooi

Niendeshe kwa maringo
tusivange pooi

Nyia popepea yangu mimi nikifa
ki mimi siwezi nyanyuka haibu
natunaga chini, sasa utoto
ndio nini ? kunishutua injini
kama unanipa nipe mimi sipendi
kudondoshewa chini

(Chorus)

We bwana we niende kwa nani
sangenya ? niende kwa nani
asangenya ?

niende kwa nani sangenya ?
niende kwa nani asangenya ?

(Verse 2)

Limeoza si kidogo, niko hoi
taabani hio huuba virogo
kazi kwenyu kina nyani,
dangarau una kadogo walikula
jibya gani ?

(Bridge)

We ndio my boringo ukibinda
nikohoi ukinifanyia maringo
aki sitoboi, ka wewe dereva
mimi mtingo penzi letu rooi

Niendeshe kwa maringo
tusivange pooi

Nyia popepea yangu mimi nikifa
ki mimi siwezi nyanyuka haibu
natunaga chini, sasa utoto
ndio nini ? kunishutua injini
kama unanipa nipe mimi sipendi
kudondoshewa chini

(Chorus)

We bwana we niende kwa nani
sangenya ? niende kwa nani
asangenya ?

niende kwa nani sangenya ?
niende kwa nani asangenya ?

Voir aussi ➔ Natulizana & Msumari

Added by

lyrics africas

SHARE

Votre adresse e-mail ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *