![]()
(Verse 1)
Huum Niutoto tu ila mie
kwako sipiduwi, ndo maana
usiku nikinuna najichesha
asubuhi
Niujinga tu ila mie kwako
fala ndo maana usipo pokea
simu siwezagi lala
umenifunza tofauti ya
kupenda na kupendana na
kuongezwa sauti hata
macho huseme sana
Na mapenzi yanataka imara
kuaminiana, nami kwako sina
shaka we amuwa unatachofanya
(Bridge)
Na hivi viinzi vyakuzengea
wizi vikichanga inzi
visikunyime amani
Lala usingizi upepo wa
parizi mie mambo ya uzinzi
yaku vya kazi gani baby
hapo hapo ilipo mbao
(Chorus)
(Nigongeye na msumari)
ooh penzi letu tuboreshe
Nigongeye na msumari
niezekana patihari
(Nigongeye na msumari)
Mvua ya chuki isipenyeshwe
(Nigongeye na msumari)
(Verse 2)
Oh njiwa nenda njiwa njiwa
peleka salamu (Peleka
salamu) Naivasha kivule oh
masa zikife lamu
Njiwa nenda njiwa njiwa
peleka salamu ziende mpaka
kwa yule alonitesa mwanaramu
Si alisema mimi sitopata
wathamani hasa hii ni nini
muulize huyu nani
Wamebaki kutabiri si punde
tutaachana wambie sio kwa
penzi hili mbona wataroga
sana
(Bridge)
Na hivi viinzi vyakuzengea
wizi vikichanga inzi
visikunyime amani
Lala usingizi upepo wa
parizi mie mambo ya uzinzi
yaku vya kazi gani baby
hapo hapo ilipo mbao
(Chorus)
(Nigongeye na msumari)
ooh penzi letu tuboreshe
Nigongeye na msumari
niezekana patihari
(Nigongeye na msumari)
Mvua ya chuki isipenyeshwe
(Nigongeye na msumari)
Voir aussi ➔ Natulizana & Nani
Added by
lyrics africas
WRITE A COMMENT
WRITE A COMMENT

No comments yet