Loading

(Couplet)

Wenzako waolewa we
Huolewi Kwani we, ati
Una hila moja Husemi
Na majirani we, sema
Na hila ya pili, Ukihongwa
Hufanani wewe,

Sema na hila ya tatu
Midabwada kitandani we
Sema na hila ya nne
Mwenzetu mchafu ndani we

Sema na hila ya nne
Mwenzetu mchafu Ndani we
Kanijencee kibanda kwetu eeh…
Kanijencee kibanda kwenu wataniua

(Chorus)

Kanijencee kibanda kwetu eeh…
(Kanijencee kibanda kwenu wataniua)
Kanijencee kibanda udugu wangu eeh
Kanijencee kibanda shoga zako wataniua

(Kanijencee kibanda kwetu eeh…)
(Kanijencee kibanda kwenu wataniua)
Lalilo lolo eeeeh, pambe tu !

Lolololo lolololo…
Lali Lali lalii, laa lalii
Lali lili lali……

Oooh Jani hilo, jani la Mua
eeeh, Watu wote zoazoa
Lakini wewe umezidi

(Jani hilo, jani la Mua eeeh
Watu wote zoazoa Lakini
wewe umezidi)

Jani hilo, jani la Mua eeeh
Watu wote wanagama ila
Mwenzetu umezidi

(Jani hilo, jani la Mua eeeh
Watu wote zoazoa Lakini
wewe umezidi)

Oooh Jani hilo, jani la Mua
eeeh, Watu wote zoazoa
Lakini Tokoss umezedi

(Jani hilo, jani la Mua eeeh
Watu wote zoazoa Lakini
wewe umezidi)

Oooh Jani hilo, jani la Mua
eeeh, Watu wote zoazoa
Lakini Lizer umezedi

Acha nicheze mie (Na Watu
wangu jangwani na lia), Oooh
Acha nirince mie (Na Watu
wangu jangwani na lia)

Aaah nicheze mie (Na Watu
wangu jangwani na lia)
Acha nijishaue shaue (Na Watu
wangu jangwani na lia)

Ooloh lolilo lolilo eeh
(Kuntu, mambo hayo)

Alolololo… Aah eh mama
Mwanangu ooh (mama
Mwanangu ooooh…) (X2)

Waniacha nasaga mpunga
We, mbona sijijui (X2)

Waniacha napinda mgongo
We, mbona usiniambie (X2)

Jamani mi naumwa
Eeeeh eeh, naumwa
Naumwa ooh naumwa
Aaah, naumwa, naumwa
Kijipu upele we, naumwa
Huniambie pole

(naumwa
Eeeeh eeh, naumwa
Naumwa ooh naumwa
Aaah, naumwa, naumwa
Kijipu upele we, naumwa
Huniambie pole)

Naumwa kijupu upele jama
(Naumwa huniambii pole)

Oyaa mwafulani wee (aah…)
Ooh mwafulani usitukane
Dangaji nakuambia aaaah
Huo Dangaji, kauanza dadayo
Kuutumia, ukiona mwana wa
Mwenzio budege

Na wako wilevile, Na wako vilevile
Aaah ukiona mwana wa mwenzio
Mchele, (na wako vilevile, na wako
vilevile) , ukiona mwana wa mwenzio
Shangingi,

Ukiona mwana wa mwenzio
Shangingi, (na wako vilevile,
na wako vilevile) (X2)

Aaaah lilo lilo eeeh, tamu

Nipeni barua yangu (niisome)
Nipeni barua yangu (niisome)
Nipeni barua yangu (niisome)

Jamani barua yangu (niisome)
Nipeni barua yangu (niisome)
Naitaka barua yangu (niisome)
Barua jama barua eh (niisome)
Barua jama barua eh (niisome)

Barua ya bwana ndani eh (niisome)
Barua jama barua eh (niisome)
Barua ya bibi ndani eh (niisome)
Barua ifike vyema eeh (niisome)
Barua mama barua ah eh

Ooh nyie wana dar es salama
Embu acheni umbumbumbu
Nyie wana dar es salama acheni
Umbumbumbu

Shariti ni kuinama, ukitaka
Chua uvungu, asa mbona
Wapata bwana halafu humpi

Naombeni barua yangu (niisome)
Naitaka barua yangu (niisome)
Niisome barua yangu (Niisome)
Barua jama barua eeeh (Niisome)
Aaaaaaaaaah eeeeeeeeh

Jamani kuna kijiti kimoja kwa
Jina sitokitaja, ukiona chasimama
Ujue chataka haja, ukiona kimelala
Kisha chafua mapaja, Jamani wewe

Nipeni barua yangu (niisome)
Naitaka barua yangu (niisome)
Nipeni barua yangu (niisome)
Barua jama barua eh (niisome)

Barua ya mwana ndani eh (niisome)
Barua jama bahaba eeeeh (niisome)
Naitaka barua yangu (niisome)
Niisome barua yangu (niisome)

Barua jama bahaba eeeeh (niisome)
Mahaba jama ya muhiba (niisome)
Aaaaaaaaaah eeeeeeeeeh

Jamani kuna mama kuna (kuna)
Kuna mama kuna (kuna)
Kuna nazi kuna (kuna)
Kuna mama kuna (kuna)

Kuna kinyume nyume (kuna)
Kuna kinyume nyume (kuna)
Kuna kimbele mbele (kuna)
Kuna katia kwa katia (kuna)

Kuna kinyume nyume (kuna)
Haya ku ku kuku ku… (kuna)
Eeeh ku, eeeh ku, kukuku ku…

Jamani kampata sharubaro
Jama kampeleka nyumbani
Muda WA kumpa mambo
Kamvalia miwani, kule
Hakupaona Kafanya kwa pajani

Jamani kuna sasa kuna (kuna)
Kuna Embu kuna (kuna)
Kuna mama kuna (kuna)
Kuna dada kuna (kuna)
Ricardo momo kuna (kuna)
Esma twende kuna (kuna)

Oooh udangaji udangaji
Jama ni habari ya mujina
Wenzako wapewa, nyumba
Kwa magari ya injini, hivi we
Dangaji gani, hadi Leo walala Chini

Ngoja, embu kwanza kuna (kuna)
Jifunze kukuna (kuna)
Kwa kushoto kuna (kuna)
Kwa kulia kuna (kuna)

Haya ku ku kuku ku… (kuna)
Eeeh ku, eeeh ku, kukuku ku…
Aaaaaaaaaah eeeeeeeeeh…

Oh utaniweza Wapi utundu
Nimeanza zamani mie
(Utaniweza Wapi utundu
Nimeanza zamani mie)

Oh utaniweza Wapi kuchepuka
Nimeanza zamani mie (Utaniweza
Wapi utundu Nimeanza zamani mie)

Oh utaniweza Wapi madanga
Nimeanza kitambo mie (Utaniweza
Wapi utundu Nimeanza zamani mie)

Oh utaniweza Wapi mjini napajua
Mjine napajua kitambo mie
(Utaniweza Wapi utundu
Nimeanza zamani mie)

Hasa Nataka dodoa (haya dodoa)
Nataka katika (haya katika)
Jama najojoa (haya jojoa)
Hamu yanishika (haya dodoa)

Oh Nataka dodoa (haya dodoa)
Eeeh Nataka katika (haya katika)
Jaama najojoa (haya jojoa)
Hamu yanishika (haya dodoa)

Mama Nataka nilewe
(Ngoja nilewe nikishaaguka
Pombe utakunywa wewe)

Ooh jama Nataka nilewe eeh
(Ngoja nilewe nikishaaguka
Pombe utakunywa wewe)

Aaah Hasa Nataka dodoa
(haya dodoa) Jamani nataka
Katika (haya katika)

Aaah jama najojoa (haya jojoa)
Hamu yanishika (haya dodoa)
Naataka dodoa (haya dodoa)
Jama nakatika (haya katika)

Ona najojoa (haya jojoa)
Hamu yanishika (haya dodoa)
Pambee eeeeh

Added by

lyrics africas

SHARE

Votre adresse e-mail ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *