Loading

(Verse 1)

Mwisho ni darasa la saba
mimi na yeye ndo tulijuana
sababu ya kukosa ada mi
kidato ikashindikana

Ndoto za udaktari zikape-
peruka, na yeye sekondari
akahamishwa mbali, mkoani
arusha

Hisia na balehe zilikutana
na kati, mambo ya kupenda
ujana maji ya moto, eh moyo
ng’o hoja basi

Nikaja kusikia yuko gongo
la mboto mara chuo mtwara
masasi

Nyie wa henga waongo kwamba
dunia ndogo, mbona sasa sijui
yuko wapi

(Chorus)

Namtafutaa Bado namtafuta
mchumba wangu wa darasa la
saba, ajue sikuchezea fursa
ni wazazi walikosa ada

Bado namtafuta mchumba wangu
wa darasa la saba, ajue
sikuchezea fursa ni wazazi
walikosa ada

Tere liye eeh, tere sanam
Tere liye eeh, tere sanam
Tere liye eeh, tere sanam

(Tere liye eeh, tere sanam)

(Verse 2)

Mara ya mwisho kumuona ni
siku ya mahafali, niliandika
ujumbe ila hakuusoma, nyuma
ya daftari

Suluhisho mi kupona nijue
angali, mzima yupo salama
niache kusonona moyo upate
afadhali

Nikimuona nitamsimulia yote
niliyoyapitia, ajue ye ndo
chanzo cha mimi kuishi duniani

Nilivyommissi nitamkumbatia
huenda naye akanimissi pia
mi mawazo yananizunguka kich-
wani

Ndoto za udaktari kwisha ha-
bari, zikapeperuka, na yeye
sekondari akahamishwa mbali
mkoani arusha

Hisia na balehe zilikutana
na kati, mambo ya kupenda
ujana maji ya moto, eh moyo
ng’o hoja basi

Nikaja kusikia yuko gongo
la mboto mara chuo mtwara
masasi

Nyie wa henga waongo kwamba
dunia ndogo, mbona sasa sijui
yuko wapi

(Chorus)

Namtafutaa Bado namtafuta
mchumba wangu wa darasa la
saba, ajue sikuchezea fursa
ni wazazi walikosa ada

Bado namtafuta mchumba wangu
wa darasa la saba, ajue
sikuchezea fursa ni wazazi
walikosa ada

Tere liye eeh, tere sanam
Tere liye eeh, tere sanam
Tere liye eeh, tere sanam

(Tere liye eeh, tere sanam)

See also Pawa, Kupenda & Siko single

Added by

lyrics africas

SHARE

Votre adresse e-mail ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *