Loading

(Couplet 1)

kamusi namaliza kurasa
Kukusifia matusi naiona
Basata wakinifungia

Theluthi hizi raha nazopata
Mia fil mia, aaah mjusi
ukuta wa plasta nauparamia

(Pont)

Na kama, penzi, ni chupa
la bia, nipe sana, niwe
mlevi niyumbe yumbe njia

Kwa maana we mlezi na
Unanijulia hawana hawa-
wezi pakukuibia, dear

(Refrain)

Pawa, pawa naishiwa pawa
Penzi lako mizani mizito
Naishiwa pawa

(Pawa, pawa naishiwa pawa
Penzi lako mizani mizito
Naishiwa pawa)

Pawa, pawa naishiwa pawa
Penzi lako mizani mizito
Naishiwa pawa

(Pawa, pawa naishiwa pawa
Penzi lako mizani mizito
Naishiwa pawa)

(Couplet 2)

Nilefeli sekondari kwendanga
Chuo, ila kufeli penzi lako
Sina hilo chaguo, yeremia
Mstari nifunue ufunuo ooh

Nukupambe kwa matari
mwilini iwe nguo

(Pont)

Na kama, penzi, ni chupa
la bia, nipe sana, niwe
mlevi niyumbe yumbe njia

Kwa maana we mlezi na
Unanijulia hawana hawa-
wezi pakukuibia, dear

(Refrain)

Pawa, pawa naishiwa pawa
Penzi lako mizani mizito
Naishiwa pawa

(Pawa, pawa naishiwa pawa
Penzi lako mizani mizito
Naishiwa pawa)

Pawa, pawa naishiwa pawa
Penzi lako mizani mizito
Naishiwa pawa

(Pawa, pawa naishiwa pawa
Penzi lako mizani mizito
Naishiwa pawa)

Added by

lyrics africas

SHARE

Votre adresse e-mail ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *