![]()
(Couplet 1)
Kewenye safari ya
Mapenzi we dereva
imaraa aaah, panapo
Na utelizi naomba
gangamaraa aaah
My i know (i know)
zitakuja changamoto toto
Sweet i know (I know)
Tutapitia misot toto
Najua unanipenda mchumba
Huwezi enda na kimbungu
Najua unanipenda laazizi
Huwezi enda na mawimbi
mpenzi
(Pont)
Sura yako, sura yangu
Zishaanza kufanana…
Moyo wako, moyo wangu
Kupendana hadi qiyama
(Refrain)
Siko single ooooh…
(Mchumba wambie)
Hauko single ooooh
Siko single ooooh…
(Mchuchuchu wambie)
Hauko single ooooh
(Couplet 2)
Hasara, hasara, hasara
Nilipata before, hasara
za duka la mapenzi…
Zilinikausha koo…
Sikulala sikulala mimi
Mambo ya kurushwa roho
Nikaapa kupenda staki
tena, aku mie nooh nooh
Wewe ni nani wewe
Ulonibadilisha akili
Wewe ni nani wewe
Umenitawala mwili mpenzi
(Pont)
Sura yako, sura yangu
Zishaanza kufanana…
Moyo wako, moyo wangu
Kupendana hadi qiyama
(Refrain)
Siko single ooooh…
(Mchumba wambie)
Hauko single ooooh
Siko single ooooh…
(Mchuchuchu wambie)
Hauko single ooooh
Bebe beibe bebeibe
Added by
lyrics africas
WRITE A COMMENT
WRITE A COMMENT

No comments yet