![]()
Apa zito, The one and only jay Sijui wapi nafeli kama kujali najali, tena nakuzingatia, sio kwamba hujielewi unajitoa tu ufahamu kusudi uannifanya Kuna muda najiuliza nafosi vitu au vipi, kila siku me ndo naumizwa nipo kwako kama shabika ovyo nimeona nisikulazie damu nimeamua nikwambie, mambo unay- ofanya jifikilie kama kushare kwa wengine sio mie […]
