LYRIC
![]()
Kisa tu nilinyamaza haimaanishi
nilikua na hatia, kwa ile hasira
ulio nayo, niliona ninyamaze
Nahisi hukuthamini ukweli ulichojali
ni wewe kuwa sawa, hukunipa fursa
nijieleze kabla tuachane
Wanasema kimya kingi kina vishindo
stress kazi pelekea pombe, zile
missed calls zangu pamoja na wito
ilotuma ilimradi tu nikuone
Wewe ulichotaka tu yakome, you never
heard the side of my story, ukang
ang ana kunbebesha msalaba ambao sio
wangu
Ulinilazimisha dhambi ambazo sijatenda
kinachoniuma, ni kwamba unanijua baba
ila ukachagua kuwa mi ni waanga, nahisi
kama ukweli unaujua, ulichotafuta sababu
ya kuniacha
Ulinihukumu vibaya wala hukunifumania
kama ukweli hauna maana hamnazo sina
tena
Ulinihukumu vibaya wala hukunifumania
kama ukweli hauna maana hamnazo sina
tena
Hivi ulichotaka mimi nidhalilike, kwa-
kujiaminisha uongo wa marafiki zako
hivi bwana ushawahi kuaza, kama nastahili
adhabu niliyopata
Alright it dont matter, silalamiki, ila
ni vipi leo una mpenzi mpya, nahisi ni
kama alikuwepo, poka zamani hivi penzi
langu kwako halikumaanisha chochote ina
maana
Nahisi ndio sababu yangu mimi na wewe
kuachana, ukang ang ana, kunbebesha
msalaba ambao sio wangu
Ulinilazimisha dhambi ambazo sijatenda
kinachoniuma, ni kwamba unanijua baba
ila ukachagua kuwa mi ni waanga, nahisi
kama ukweli unaujua, ulichotafuta sababu
ya kuniacha
Ulinihukumu vibaya wala hukunifumania
kama ukweli hauna maana hamnazo sina
tena
Ulinihukumu vibaya wala hukunifumania
kama ukweli hauna maana hamnazo sina
tena

No comments yet