LYRIC

Loading

Aah when I wake up in the morning
kijua cha usoni mapenzi ya jikoni
mapenzi ya jioni mshike wako, umwan-
galie umwambie ya moyoni abaa

Unaskila sound my heart beat, penzi
limenivaa you’re my outfit, tulia
usiwe na pressure mwenyekiti, wasi-
kubane bane mbona big seat

Kupenda mtu ni haki yangu I know my
right, upendo ni zawadi asante I’m
so excited, vita yako itakuwa ni ya
kwangu I’m gonna fight, just hold
my hands and keep tight tight

Jahazi la upendo haliendi kwa upepo
moyo ni engine unataka treatment
special, moyo unaharibika mtumiaji
asipo-settle, moyo unaeza kuacha
mansion ukaendo ghetto

Raha ya mapenzi watu kuwa (ha-ppy)
sio usiku mmoja kama (par-ty)
fashion inapitwa na wakati, kupata
mtu originali bahati

Nikikukosea haki yako kunifokea, know
that I care mijibwa mikali ntakuwekea

wakeshe kwenye lindo (ouh ouh), kwenye
lindo (ouh ouh), wakeshe kwenye lindo
(ouh ouh), kwenye lindo my baby

Unanifanya nijione nipo juu juu juu
kila unapopita watu wote macho juu juu
juu huum

Wee ndo unanifanya nijiskie nipo juu juu
juu, kila unapopita wakikuona watu hum hum

Ni kama vile niliona sign, nitulie kumbe
nakuja love design, wikendi nyingine
tunajifungia chumbani, nakupanga vitu vya
msingi maishani

Naishiwa pawa my boo if you’re looking
for her waist mtazame na sura, baba zuu
sina furaha kama nakula kitu uani kwa
wambura

Raha ya mapenzi watu kuwa (ha-ppy)
sio usiku mmoja kama (par-ty)
fashion inapitwa na wakati, kupata
mtu originali bahati

Nikikukosea haki yako kunifokea, know
that I care mijibwa mikali ntakuwekea

wakeshe kwenye lindo (ouh ouh), kwenye
lindo (ouh ouh), wakeshe kwenye lindo
(ouh ouh), kwenye lindo my baby

Mtoto kabla hajajiremba, hajavaa namuona
amependeza, hum mapenda mpenda, hata
wee kucheat usingeweza, bila ya chenge
bila ngenga ngenga Vimacho vyake utadhani
kengeza kusema kweli mampenda mpenda, wa
pekee mi sihitaji nyongeza

It’s konde boy call me number one, bahresa
you know the sound when I’m vibing with
the classic abaa


Added by

lyrics africas

SHARE

Votre adresse e-mail ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *

ADVERTISEMENT

VIDEO