LYRIC
![]()
machozi yote vilio ooh ume yafuta
wewe eeh, achaneni ni tabasamu
na bembelezwa, nimeshaweka uzio
ooh ni kulinde wewe eeh Au ni jenge
salamu la kukupongeza
Uzito wa penzi lako hawawezi kupima
kuachana mi na we labda ikutane mi-
lima
Mwangaza wa penzi lako hawawezi
kuuzimaa, hawajui siku nusu nusu
nime zama mazimaah
kipepeo (kipepeo), kipepeo, rangi
zako zina ni changanya kipepeo
kipepeo (kipepeo), kipepeo, hivi
kwa nini we mzuri sana kipepeo aaah
kipepeo, kipepeo mbosso khan tena ah
Nangu nangu kumemena kimakonde ni
kuimbie, nyanii bungo kalitema nipe
nilitafune mie, penzi liwe la sinema
watazamaji wakasimulie, kila ukiwa
una hema litaje jina langu mie
Mi moyo wangu mwepesi usije ujaza
mizigo, pombe si dawa ya stress
utanipa maradhi ya figoo, i don’t
know, i don’t know, i don’t know
(i don’t know), maisha bila we ni
ngewezaje i don’t know (i don’t know)
Uzito wa penzi lako hawawezi kupima
kuachana mi na we labda ikutane mi-
lima
Mwangaza wa penzi lako hawawezi
kuuzimaa, hawajui siku nusu nusu
nime zama mazimaah
kipepeo (kipepeo), kipepeo, rangi
zako zina ni changanya kipepeo
kipepeo (kipepeo), kipepeo, hivi
kwa nini we mzuri aaah
kipepeo (kipepeo), kipepeo, rangi
zako zina ni changanya kipepeo
kipepeo (kipepeo), kipepeo, hivi
kwa nini we mzuri aaah

No comments yet