LYRIC
![]()
Apa zito, The one and only jay
Sijui wapi nafeli kama kujali
najali, tena nakuzingatia, sio
kwamba hujielewi unajitoa tu
ufahamu kusudi uannifanya
Kuna muda najiuliza nafosi vitu
au vipi, kila siku me ndo
naumizwa nipo kwako kama shabika
ovyo nimeona nisikulazie damu
nimeamua nikwambie, mambo unay-
ofanya jifikilie kama kushare
kwa wengine sio mie
Si umeamua kucheza nazo aaah
(hisia), sasa nguo unazichezea
aaah (hisia), si umeamua unipe
mawazo aaaah (hisia), sa zangu
unazikosea aaaah (hisia)
Umeamua kudili nazo aaaah (hisia)
sa zangu unazionea aaaah (hisia)
Sa kwanini unipe mawazo aah (hisia)
hisia zangu unazikosea aaah (hisia)
Mamaa, pazito
Me nakupa moyo wangu unautia ndi
unaitia stress me mpaka naingia
Gym, unazalau nazi, embe tunda
la msimu, kwa nyumba ya shetani
kaingia mwendawazimu
Ahadi, ahadi zote ulizonipa, ume-
shindwa kuzitimiza, ona leo mapicha
picha mapenzi yamekwisha yamekwisha
Nimeona nisikulazie damu nimeamua
nikwambie, mambo unayofanya jifikilie
kama kushare kwa wengine sio mie
Si umeamua kucheza nazo aaah
(hisia), sasa nguo unazichezea
aaah (hisia), si umeamua unipe
mawazo aaaah (hisia), sa zangu
unazikosea aaaah (hisia)
Umeamua kudili nazo aaaah (hisia)
sa zangu unazionea aaaah (hisia)
Sa kwanini unipe mawazo aah (hisia)
hisia zangu unazikosea aaah (hisia)
Mamaa…

No comments yet