![]()
Kama ungehesabu makosa Ningekuwa mgeni wa nani Kama ungetazama wenye pesa Mimi ningekuwa mgeni wa nani Nakushukuru wee, uliye nipa pumzi ya uhai, mimi wa chini yule, umenipandisha juu kama tai Nakushukuru wee, uliye nipa pumzi ya uhai, mimi wa chini yule, umenipandisha juu kama tai Ni neem yako, imenistahilisha napale ambapo sikustahili baba Hum […]
