![]()
(Intro)
Nani anifute machozi
Nani anifute machozi
Sina mwingine eeh, ni
mungu pekee eeh, Sina
mwingine eeh, ni mungu
pekee eeh
Nani anifute machozi
Nani anifute machozi
Sina mwingine eeh, ni
mungu pekee eeh, Sina
mwingine eeh, ni mungu
pekee eeh
(Verse 1)
Hum kuna muda nacheka na
sio kwamba na furaha…
Ila nina huzuni moyoni na
huzuni iiiiiih
kuna muda natabasamu sio
kwamba na furaha… hum
ila nina huzuni moyoni na
huzuni iiiiih
(Bridge)
Sina urafiki na dunia yenu
Maana ndiko yanakotoko
machozi yangu… wala sina
sababu ya kumlaumu mtu…
Kwakuwa mungu yupo
ataniponya tu
Niliodhani watanifuta
machozi nao wanalia
niliona pakukimbilia
papo kumbe nilikosea
Niliodhani watanifuta
machozi nao wanalia
niliona pakukimbilia
papo kumbe nilikosea
(Chorus)
Nani anifute machozi
Nani anifute machozi
Sina mwingine eeh, ni
mungu pekee eeh, Sina
mwingine eeh, ni mungu
pekee eeh
Nani anifute machozi
Nani anifute machozi
Sina mwingine eeh, ni
mungu pekee eeh, Sina
mwingine eeh, ni mungu
pekee eeh
(Verse 2)
Nikiamka asubuhi cha kwanza
ni machozi tu, baba naomba
eeeh, na mchana jioni chakula
changu machozi tu…
Baba naomba nione nimechoka
huuuuum,
(Bridge)
Sina urafiki na dunia yenu
Maana ndiko yanakotoko
machozi yangu… wala sina
sababu ya kumlaumu mtu…
Kwakuwa mungu yupo
ataniponya tu
Niliodhani watanifuta
machozi nao wanalia
niliona pakukimbilia
papo kumbe nilikosea
Niliodhani watanifuta
machozi nao wanalia
niliona pakukimbilia
papo kumbe nilikosea
(Chorus)
Nani anifute machozi
Nani anifute machozi
Sina mwingine eeh, ni
mungu pekee eeh, Sina
mwingine eeh, ni mungu
pekee eeh
Nani anifute machozi
Nani anifute machozi
Sina mwingine eeh, ni
mungu pekee eeh, Sina
mwingine eeh, ni mungu
pekee eeh
Lyrics → Makosa
Added by
lyrics africas
WRITE A COMMENT
WRITE A COMMENT

No comments yet