Loading

(Intro)

Mombasa, Mombasa ah 001
oueh yeye, mombasa, ka-
nibani kutoka Mombasa ah

(Verse 1)

Mtu na mpenzi lakini si-
dekezwi, mi mpenzi mta-
zamaji mtu na kwetu ni-
takuwa fala kama samaki
akifa kwenye maji

Acha nionekane sijiwe si-
ri ya mtungi naijuwa kata
nimarangapi nime umizwa
nikali ah we ulize hili
jicho

(Bridge)

Hawa watu hawa hivi kweli
ni watu wa mungu hawa
mbona hawana huruma hawa
dare salama mtanitowa roho
yangu

(Chorus)

Mi siwezi kuishi bila ku-
pendwa bora ni ende
(mombasa) nikajaribu zare
langu mimi (mombasaa)

Naomba mnipoke eeh (mombasa)
abdulswammad nateseka mimi
(mombasa)

(Verse 2)

Nipate mtoto wa mtu ni m-
pende ni mpende salamu
zifike bongo dhahabu chini
ya mtende namimi ni tulize
ubongo

Nachoka mimi na choka, ku-
lia lia kama mutoto, basi
nijipate ni tulie ushani-
tosha msoto

(Bridge)

Hawa watu hawa hivi kweli
ni watu wa mungu hawa
mbona hawana huruma hawa
dare salama mtanitowa roho
yangu

(Chorus)

Mi siwezi kuishi bila ku-
pendwa bora ni ende
(mombasa) nikajaribu zare
langu mimi (mombasaa)

Naomba mnipoke eeh (mombasa)
abdulswammad nateseka mimi
(mombasa)

Added by

lyrics africas

SHARE

Votre adresse e-mail ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *