![]()
(Verse 1)
Bahari siwezi vuka bahari
bila chombo chochote cha
kuelea
Ila bahari waweza kausha
bahari wewe, kwa miguu
nitavuka nikitembea (
mungu)
Tofali, naweza beba to-
fali mimi, nika liamisha
na kulipeleka mbali
Ila ajali waweza zuia
ajali wewe, za kunikwa
misha ni sisonge na
safari mungu wangu
(Bridge)
Mtu kama mimi siku hesa-
bika alinitoa nyuma nyuma
aka nifikisha hapa,
Watu kama sisi hatuku
hesabika, alitutoa nyuma
nyuma akatufikisha hapa
(Chorus)
Ayah mimi ni nani (Mimi ni
nani Mungu aniwazie mema
aah)
Ayah nimefanya nini mimi
(Nimefanya nini, mungu
aniwazie mema aaah)
Nimempa nini (Nimempa ni-
ni, mungu aniwazie mema
aaaah)
Nimetoa nini mimi (nimetoa
nini mimi, mungu aniwazie
mema)
(Verse 2)
Mtu kama mie eh, (Mtumu kama
mimi, sikuhesabika, alinitoa
nyuma nyuma akanifikisha)
Watu kama sisi, (Watu kama
sisi, hatukuhesabika, ali-
kutoa nyuma nyuma akatufi-
kisha)
Naona aibu, (Naona aibu
mbela zako bwana, sababu
haya umetenda mimi siyastahili)
(Chorus)
Mimi ni nani ( Mimi ni
nani mungu aniwazie mema
aah)
Ayah nimefanya nini mimi
(Nimefanya nini, mungu ani-
wazie mema aaah)
Nimempa mungu (nimempa
mungu aniwazie mema aaaah)
Nimetoa nini mimi (nimetoa
nini, mungu aniwazie
mema)
Added by
lyrics africas
WRITE A COMMENT
WRITE A COMMENT

No comments yet