Loading

(Verse 1)

Sisi ni wale, tulio kopa
tukapeane, tukashauri
watu kupendana, walio susa
tukawapa moyo

Sisi ndio wale, tulio posti
kufa kuzikana, wapenzi saizi
tumeachana, mapenzi kosa ni
kasoro

Hatuna uvuto tumeunga mpaka
kucha, twasubiri majibu
mpaka moro, sabuni na mafuta
alfajiri bafuni au godoro

Nimeshinda nikimuomba mungu
ingawa mkafiri nalewa naeka
ugoro, jahazi nang’ang’ania
na sio siri najifariji na bia
woh woh woh

(Bridge)

Aah aah, huba unitete, kuja
uniage sawa nina pupa ah ah
kamba nijinyonge, huoni has-
ara niwe nimekufa

Aa aah, toba au nisiongee
penzi ni mabuyu huwezi uk-
atafuna, chunga nisikonde
mi gari la maji nimekwama

(Chorus)

Sorry come back to me, for
real nakuitaji, sorry rud-
iana na me, moyo unakuitaji

Sorry come back to me, for
real nakuitaji, sorry rud-
iana na me, moyo wangu bila
we maradhi

(Verse 2)

Anayependa kweli huonekana
fala hafai, penzi ni msiba
wa mahaba, na ukipenda ume-
jiroga uchawi, ukigongewa
unaeza kaba

Niko chini ya mwembe, busati
embe imeanguka haijaiva, ni
ngumu nishaona wa bugatti
wanalilia penzi udavida

(Bridge)

Aah aah, huba unitete, kuja
uniage sawa nina pupa ah ah
kamba nijinyonge, huoni has-
ara niwe nimekufa

Aa aah, toba au nisiongee
penzi ni mabuyu huwezi uk-
atafuna, chunga nisikonde
mi gari la maji nimekwama

(Chorus)

Sorry come back to me, for
real nakuitaji, sorry rud-
iana na me, moyo unakuitaji

Sorry come back to me, for
real nakuitaji, sorry rud-
iana na me, moyo wangu bila
we maradhi

Added by

lyrics africas

SHARE

Votre adresse e-mail ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *