![]()
(Intro)
Bash imeshika juu matata
wamefika washa ngwelo lo
Bash imeshika juu matata
wamefika washa ngwelo lo
(Verse 1)
Your body is like a map
kata corner hiyo ni curve
kata corner hiyo nyash
body like math, chora saba
hiyo ni art
Ona ten a birthmarak nanguka
na madam ni mpeng ni mrasta
puff juu ya puff me humseti
kishada double she is a
trouble girl she makes me
bankrupt Kwanza aki turn she
makes me stammer
(Bridge)
she say she want modaaa
anytime will be your
soldier i like my gal a
likkle older kwela anaweza
hold down, hold down
(Chorus)
Nyongi leo sina ngwai, si-
pendi bila Nyongi sipendi
bila Nyonginyo
Nyongi, Nyongi, Nyonginyo
uuuuuuh aaaaah aaaaaaaaah
Nyongi, Nyongi, Nyonginyo
uuuuuuh aaaaah aaaaaaaaah
(Verse 2)
Oh nana kwela uko decent
usitangaze vitu tulifanya
recent (oh nana)
Oh nana call me next weekend
oh nana kuonekana kwangu
itadepend, naukinisetia keki
(naigotha) drop it down for
me babe (ntaiokota)
Night ni young ka si mechi
dont bother oh nana, wanna
get down wanna
(Bridge)
she say she want modaaa
anytime will be your
soldier i like my gal a
likkle older kwela anaweza
hold down, hold down
(Chorus)
Nyongi leo sina ngwai, si-
pendi bila Nyongi sipendi
bila Nyonginyo
Nyongi, Nyongi, Nyonginyo
uuuuuuh aaaaah aaaaaaaaah
Nyongi, Nyongi, Nyonginyo
uuuuuuh aaaaah aaaaaaaaah
(Verse 3)
Zilini beba, Zilini beba
Zilini beba nikawa, niko
juu, sio kwamba nakupenda
Hiyo jaba tema, hiyo jaba
tema haiwezi juuu (huna
doh oooh), me mwenyewe
natoka ghetto oh sina doh
oooh
But for you nita control
body fine, kidesign, nakudai
ndio nikuroll, kama ngwai
niku light up, nikusmoke
nifurahi niwe higt up…
(Bridge)
she say she want modaaa
anytime will be your
soldier i like my gal a
likkle older kwela anaweza
hold down, hold down
(Chorus)
Nyongi leo sina ngwai, si-
pendi bila Nyongi sipendi
bila Nyonginyo
Nyongi, Nyongi, Nyonginyo
uuuuuuh aaaaah aaaaaaaaah
Nyongi, Nyongi, Nyonginyo
uuuuuuh aaaaah aaaaaaaaah
Added by
lyrics africas
WRITE A COMMENT
WRITE A COMMENT

No comments yet