Loading

(Intro)

Ewe mungu naomba usiruhusu
nivute pumzi ya mwisho
mpaka, nizitimize ndoto ndo
niondokee

Humm, wananiita mangi, na
siku hiziii aaah…

(Verse 1)

Siogopi kufa ila nyuma nina
watu wananitegemea asa niki-
fa kesho nawaza itakuwajee

Bado napambana, niweze kumudu
dharau za hii dunia saa
nikifa kesho, nawaza itakwajee

(Bridge)

Sawa tunazaliwa mara moja oh
na tunakufa mara moja oh…
kila mafanikioo yana siku
nyingi sana za kungoja ndomona

Bado na Jikongoja na siamini
kwenye kukosa maana najua ya
kwangu ipo na kuipata ni swala
muda tu eeeh

(Chorus)

Ewe mungu naomba usiruhusu
nivute pumzi ya mwisho
mpaka, nizitimize ndoto ndo
niondokee

Ewe mungu naomba usiruhusu
nivute pumzi ya mwisho
mpaka, nizitimize ndoto ndo
niondokee

(Verse 2)

Sio kama siyaoni nayaonaa ila
nimenyooka staki kona kona
na siri ya uvungu ni kuinamaa
sa ya nini yakhee

Mengine fedhea naogopa laana
maana nina hofu ya mungu sana
kulala na mama itawezekanaa
baa ndugu nisamehee

(Bridge)

Sawa tunazaliwa mara moja oh
na tunakufa mara moja oh…
kila mafanikioo yana siku
nyingi sana za kungoja ndomona

Bado na Jikongoja na siamini
kwenye kukosa maana najua ya
kwangu ipo na kuipata ni swala
muda tu eeeh

(Chorus)

Ewe mungu naomba usiruhusu
nivute pumzi ya mwisho
mpaka, nizitimize ndoto ndo
niondokee

Ewe mungu naomba usiruhusu
nivute pumzi ya mwisho
mpaka, nizitimize ndoto ndo
niondokee

Added by

lyrics africas

SHARE

Votre adresse e-mail ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *