![]()
(Verse 1)
Nili kua mbali, sana aaah
Nili ku nime, choka rohoni
nika tembea gizani, nika
kosa hata sauti moyoni…
Nika uliza niko wapi, nika
anguka chini nika lia…
machozi yangu yaka kuja
wewe uka igeuza kua maombi
(Chorus)
Nishike mkono wako, baba
nisi anguke tena niongoze
machozi haya uya badilishe
Yawe ushuhuda wa Rehema
zako
Nishike mkono wako, baba
nisi tembe peke yangu tena
niki lia una nisikia, ni-
taimba maana ume nitoa
mbali (ouh yeah)
(Verse 2)
Wali nicheka wakasema, huyu
hatafika popote, lakini uli
inua jina langu, uka nificha
kwenye upendo wako
Nika jifunza kuku subiri
hata kama moyo una niuma
kwa kila shake nilio beba
uli nijibu kwa amani moyoni
(Chorus)
Nishike mkono wako baba
nisi anguke tena niongoze
machozi haya uya badilishe
Yawe ushuhuda wa Rehema
zako
Nishike mkono wako, baba
nisi tembe peke yangu tena
niki lia una nisikia, ni-
taimba maana ume nitoa
mbali (ouh yeah)
Added by
lyrics africas
WRITE A COMMENT
WRITE A COMMENT

No comments yet