![]()
(Verse 1)
Just the other day niki-
wanga ugly everiday ugly
everyday kila siku inapata
ka nimeparara
Hatujui skin care, lip
care hip care, tao nafika
na vumbi ya utawala
but nilioga nikarudi kwa
solo kwa shelf Na imebaki
wewe uweke roho yangu kwa
safe, hapa i’m cooked wewe
ndio chef si mi ni baddie
nina inadi ya kukuweka in
shape
Nakudigi bure, tangu niwe
shule, usiskize rumours
nakucheza nijikute nah nah
wakiboronja wale kunde
Jiji ngori ndio tung’are la-
zima nijitume, nikiwa kwa mix
sinajua ni lit jaba cannabis
Ma within fomare ya jil inaka-
nashi, my habibi tunazisetoka
tukiwa wawili, usiwai teveva
ikiwa na mimi
(Bridge)
Si unanifeel na nakufeel na
napenda all your tings, mi
nataka zako genes na ma dan-
cing skills
Unakuanga mreal ndio mana
nakufeel tukitok’lezea kwa
scene inabaki wamepree
wanajua what’s the deal (hum)
(Chorus)
Nilikutake for instance ukani-
patia distance, nikaanza kuku-
miss after tumeanza kudiffer
We ndio mi amor ai we ndio mi
amor
Msupa hayo yote tisa nasaka
mtita, nikishika shilling mi
nawe tunachachisha, We ndio
mi amor ai we ndio mi amor
(Verse 2)
Propaganda perepepe za mtaa
wanakujaza na mapresha wana-
kushow mi ni mang’aa Hawapendi
kuona mi nawe tukienda far
wanatry kuzima taa nyota bado
zinang’aa
I’m the bestest sauce juu ya
mbese ex alikuwa tasteless
sai unroll na best dressed
ice juu ya necklace, goro
juu ya bracelet, rangi
inachukua juu uko stressless
best sex (oooh)
Bae mi casa isu casa, ukitaka
iko hapa iko ndakas pull up
faster na ni pyam haijawai
chapa
Lazy body amepatana na ka
busy body, geti kali na
ilirukwa na chali ni gwangi
6 inch deep nampigisha
maridadi halafu nimuonyeshe
miradi mimchanganyie kadi
(Bridge)
Si unanifeel na nakufeel na
napenda all your tings, mi
nataka zako genes na ma dan-
cing skills
Unakuanga mreal ndio mana
nakufeel tukitok’lezea kwa
scene inabaki wamepree
wanajua what’s the deal (hum)
(Chorus)
Nilikutake for instance ukani-
patia distance, nikaanza kuku-
miss after tumeanza kudiffer
We ndio mi amor ai we ndio mi
amor
Msupa hayo yote tisa nasaka
mtita, nikishika shilling mi
nawe tunachachisha, We ndio
mi amor ai we ndio mi amor
Added by
lyrics africas
WRITE A COMMENT
WRITE A COMMENT

No comments yet