Loading

(Verse 1)

Wewe hapo ndiyo unaenichan-
gamsha mwili, umenipa muwa
na kifundo, kidege chako
za nini kikiri, si nishanasa
kwenye ulimbo

Na nikinuna ntasema sikutaki
jua hapo ndiyo napotaka sana
nikiuchuna ntajifanya mkaksi
jua tu nataka kubembelezana

(Bridge)

Maana mimi bila wewe kama
kitu bila paper, simtaki
mwinginewe maana kwako ndiyo
nadeka

(Chorus)

Bado nakupenda, Bado nakupenda
Bado nakupenda, Bado nakupenda
Bado nakupenda, Bado nakupenda
Bado nakupenda, Bado nakupenda

(Verse 2)

Mpenzi wangu tabibu naahidi
kuwa mpole, ukiniacha aibu
mimi, atanicheka lokole…

Unanijua mchokozi napenda
kukutania, Mtoto chuchu konzi
kwa ndani nafinyia, kukulisha
kwa mapozi apo nakupuliza
ukiniacha totoz nani atakufanya

(Bridge)

Maana mimi bila wewe kama
kitu bila paper, simtaki
mwinginewe maana kwako ndiyo
nadeka

(Chorus)

Bado nakupenda, Bado nakupenda
Bado nakupenda, Bado nakupenda
Bado nakupenda, Bado nakupenda
Bado nakupenda, Bado nakupenda

Bado nakupenda, Bado nakupenda
Bado nakupenda, Bado nakupenda
Bado nakupenda, Bado nakupenda
Bado nakupenda, Bado nakupenda

Added by

lyrics africas

SHARE

Votre adresse e-mail ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *