Loading

(Verse 1)

Nilikua gizani nikitafuta
njia, nikijifunza kusimama
baada ya kuanguka

kila jeraha lilinifanya
imara, leo ninasimama na
nguvu mpya moyoni

(Bridge)

Naacha jana nyuma yangu
naamini kesho yangu ouh

(Chorus)

It’s new beginning, mawanzo
wa kila jema, ya kale hayapo
tena, nimefuta nina anza upya
now

It’s new beginning, sitazami
ya nyuma tena, machozi hayapo
tena, nimefuta nina anza upya
now, It’s new beginning

(Verse 2)

Safari si rahisi ila naendelea
kila atua, inanisogeza mbele
sauti yenye tumaini inaniogoza
Najua nitafika naamini

(Bridge)

Naacha jana nyuma yangu
naamini kesho yangu ouh

(Chorus)

It’s new beginning, mawanzo
wa kila jema, ya kale hayapo
tena, nimefuta nina anza upya
now

It’s new beginning, sitazami
ya nyuma tena, machozi hayapo
tena, nimefuta nina anza upya
now, It’s new beginning

Ninasonga mbele, sitarudi
nyuma god is in me

It’s new beginning, mawanzo
wa kila jema, ya kale hayapo
tena, nimefuta nina anza upya
now

It’s new beginning, sitazami
ya nyuma tena, machozi hayapo
tena, nimefuta nina anza upya
now, It’s new beginning

Added by

lyrics africas

SHARE

Votre adresse e-mail ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *