![]()
(Verse 1)
Somebody somebody love you girl
i want you to know unacho
kitafuta nimejaliwa, i wish you
knew i have been waiting for you
Kwamba siku moja utaniona, ila
siku zinavyo zidi kusonga, tama
ninakata kwa mrefu mama pana
kile unachokitafuta ninacho hapa
Ila umenifanya mfarijii wa
kukuliwaza, kila unapo ulizwa
kwani na-angaikia nini ? anaye
kupenda bora ni mimi, hii subira
yako inanikata maini, nilipo fika
mimi sijui nifanye nini
(Chorus)
Jua penzi lako ni me, unajua
furaha yako ni me, anytime you’re
looking for love, you know where
to find me baby
Unajua mali yako ni mimi, unajua
furaha yako ni me, anytime you’re
looking for love, you know where
to find me baby
You know where to find me ouh ouh
You know where to find me youh ouh
You know where to find me, You know
where to find me
(Verse 2)
Staki somo au fikiria akili inakata
Ila moyo wasikia, nimesahau nemesha
umizwa before, angalau ungenipa
likizo kidogo
Tatizo kilio changu husikii naumia
Usijifanye ka hujui nakuzimia oh
basi unipe likizo kidogo
(Bridge)
kwani na-angaikia nini ? anaye
kupenda bora ni mimi, hii subira
yako inanikata maini, nilipo fika
mimi sijui nifanye nini
(Chorus)
Jua penzi lako ni me, unajua
furaha yako ni me, anytime you’re
looking for love, you know where
to find me baby
Unajua mali yako ni mimi, unajua
furaha yako ni me, anytime you’re
looking for love, you know where
to find me baby
You know where to find me ouh ouh
You know where to find me youh ouh
You know where to find me, You know
where to find me
Added by
lyrics africas
WRITE A COMMENT
WRITE A COMMENT

No comments yet